Jumatano, 4 Desemba 2013

RJ PRODUCTION IKIWA NDANI YA JIJI LA ARUSHA


UJIO MPYA WA RJ COMPANY


 The Greatest niko makini sana na  kazi yangu na huwa sipendi kabisa masihara kazini..... 

 Jack Wolpel na Gabo wakiwa kwenye mazoezi ya kupitia scrip kwa umakini mkubwa...

 Tunaitaji kufanya mabadiliko makubwa sana katika tasnia hii yetu ya filamu kwa kufanya kazi zetu zenye utofauti mkubwa.. Kuanzia kwenye picha na vinginevyo vingi tu inabidi kuvifanya...

 Cameraman wangu Razak Ford akiwa kazini akipiga mzigo.... 

 Tukiwa on set nikimwelekeza mchache dada Jack Wolper jinsi ya kucheza...

 On Set......

 The Greatets nikiakiki picha kwenye Monitor yangu...

 Vijana kazini...


Tuesday, July 23, 2013

BAD LUCK COMING SOON

Ile Sinema iliomshirikisha miss Tanzania mwaka jana Salha Israel, Muda si mrefu itaingia mtaani kwa kishindo inayokwenda kwa jina la BAD LUCK Wadau mzigo huu si wa kuukosa kama kawaida ya RJ Company uwa hawabahatishi kwenye kazi.

Staff wa RJ COMPANY wakiwa kwenye pozi kabla kazi kuanza..


   Maandalizi yakianza kwa ajili ya kuupika mzigo wa BAD LUCK ambayo kwa sasa ushakamilika kwa kuingia sokoni.

Baba Haji na Johari on set hatari sana mzigo huu wadau..

Lisa pia alikuwepo maarufu kwa jina la Batuli naye yuko ndani ya mzigo wa BAD LUCK.

 Director Adam Kuambiana.

Nami pia nilipita kuwaangalia vijana wangu wakifanya kazi kipindi hicho.....

   Batuli bila kukosa ndani ya nyumba ni hatari sana..



 Miss akifanya mambo yake kwenye Bad Luck.

  Batuli na Johari wakiwa On Set..

  Kazi ni ngumu sana Location. Wakati mwingine kunakuwa na kazi ngumu sana maana sio kazi ndogo kabisa tutieni moyo   msituvunje moyo mapambano bado yanaendelea..

Uwoya alipita location kuangalia jinsi RJ COMPANY wanavyofanya kazi.

 Vijana kazini....

Esha Buheti on Set...

Tuesday, May 28, 2013

HAPPY BIRTHDAY VINCENT KIGOSI

Ilikuwa ni sherehe ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa katika maeneo fulani katikati ya jiji.Ni siku ambayo nilisheherekea na ndugu zangu wa karibu na wasanii wenzangu.Ni siku ambayo nimekumbuka mambo mengi sana katika maisha yangu,mara nyingi swahiba wangu marehemu kanumba huwa nakuwaga naye katika sherehe kama hii,lakin ndio mambo ya mungu huwezi kulaumu,kilichobaki ni kumuombea mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani Amen.

Odama na Maya.


Nachelewaa....Samahanini!

The Greatest nikiwa Odama kwenye pozi..

Shamsa Ford na Mayasa.

Odama na Recheal Saguda.

Nyerere na Hashimu pia walikuwepo siku hiyo.

Mambo yakiendelea kupamba moto..

Kijana wangu Salum Mpingo(Transport Manager wa RJ).

Mamo kama haya utokeaga mara moja kwa mwaka ndio huwa watu wanafanya Sherehe

JB akiwasili.

Inno Bachard mdau wa RJ akiwa ndio anawasili.

Happy Birthday.


Nikiteta jambo na Jb...



Muda wa kupakana keki ulifika.


Hatari sana Wadau..

JB akifungua shampeni




The Greatest na Mdau namba moja wa kampuni ya RJ Inno Burchad.

Mandela na Chopa

Gambe time, wadau hivyo ndio mambo yalivyokuwa